Yuko wapi Dr. Stephen Ulimboka?

Jamaa inaonekana alikula kipigo cha heavy weight
 
Huyu Dr. ilisemekana kuwa alitekwa na watu wasiojulikana na kuumizwa vibaya sana. Bahati nzuri aliokotwa na wasamalia wema akiwa katika hali mbaya sana. Baada ya hapo, Mimi sikujua kilitokea nini kwa huyu Dr. Je, nani anajua baada ya hapo kuhusu Dr. Ulimboka????.

Kuuliza si Ujinga; aulizae anataka kujua ukweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…