fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 6,654
- 9,209
Hawa ni watangazaji wa bongo fm.Upete ukiachia uchambuzi ni mtangazaji mzuri sana wa mpira wa miguu yaani football.Irene ni mdada mchambuzi mwenye vyanzo vingi vya habari na mara nyingi safari nyingi za nje huenda yeye.
Sasa waligombana hadharani japo sijajua waligombania nini,mwenye klipu inayoonesha ugomvi wao hebu aitume hapa tuione
Sasa waligombana hadharani japo sijajua waligombania nini,mwenye klipu inayoonesha ugomvi wao hebu aitume hapa tuione