Yuko Wapi Diamond Platnumz? Why hajakuwepo kwenye 30th anniversary ya bongo flava?!

Yuko Wapi Diamond Platnumz? Why hajakuwepo kwenye 30th anniversary ya bongo flava?!

Yupo anafuga mashoga kina Noeli
Hao mashoga mnaweza kuwasema kutokana na tabia zao za kutudhalilisha sisi wanaume tunaonekana ni wa ovyo kwasababu yao ila linapokuja suala la ufanyaji wa kazi wale jamaa wanapiga kazi sana ile mbaya Mimi nimewahi kufanya kazi ofisi moja na shoga nimeiona hilo hata huyo Noeli kazi yake anaijua Diamond kavalishwa na watu wengi ila mtu anayempatia kwenye kuvaa ni huyo Noeli
 
Kama kiba hakuwa kwenye list diamond alitakiwa aingie kufanya nini? Unaelewa maana ya miaka 30 ya bongo flavour lakini au unachukulia ni msanii yeyote tu wa bongo flavour
 
Lengo la show ni kwa walioanza bongo flava na wapo kwenye game for 30yrs sasa huwezi taka diamond awepo na anasema ana 36yrs kumaanisha kwamba at 6yrs alikwa ndani ya game huyo achana na yeye bro wale walikuwa wanachana kweli sio wa sasa wimbo ni maneno matatu umeisha (mwanza nyegezi, kwetu mwanza nyegezi nyege nyege nyegezi wimbo umeisha useme nayo ni bongo) wimbo kama wa pro day na ferooz {starehe} ni wimbo kweli na unafundisha kama mtu anazo akili bro na sio awe na akili za kuvukia barabara tu
 
Angeuliza Hassan el Jabir yuko wapi? Yeye ndo alifungua njia kwa kuanza imba nyimbo za kizungu kwa kiswahil ndo watu wakaona kumbe inawezekana.
Mkuu,mimi nakumbuka jina lake ni Salehe bin Jabir,
Huyu Jamaa kwa sasa anaishi UK
Ni Kaka yake na Salama Jabir wa BSS
 
1. Tamasha lililenga waanzilishi wa bongo fleva, yeye si mmoja wao.
2. Wangeitwa wooote, pasingetosha.
3. Mond ana kautaratibu kake kakutunza brand yake, huwa hatoei tokei tu kwenye matukio kama bosco.
 
Lengo la show ni kwa walioanza bongo flava na wapo kwenye game for 30yrs sasa huwezi taka diamond awepo na anasema ana 36yrs kumaanisha kwamba at 6yrs alikwa ndani ya game huyo achana na yeye bro wale walikuwa wanachana kweli sio wa sasa wimbo ni maneno matatu umeisha (mwanza nyegezi, kwetu mwanza nyegezi nyege nyege nyegezi wimbo umeisha useme nayo ni bongo) wimbo kama wa pro day na ferooz {starehe} ni wimbo kweli na unafundisha kama mtu anazo akili bro na sio awe na akili za kuvukia barabara tu
Akiwa na za kuvukia barabara hawezi elewa sio!
 
Diamond si wa kundi la kwanza la bongo fleva, aliibuka kundi la pili. Pamoja na kuwa ni mkubwa kwenye muziki huo si muanzilishi kama wale wa kundi la kwanza kina sugu, prof j, juma nature, inspector haroun, blue, yale makundi kama wachuja nafaka, hard blustard, solid ground farmily, uvc, daz nundaz, east coast
 
Back
Top Bottom