Yuko wapi Deus Malya?

Yuko wapi Deus Malya?

Wewe ni muongo tu. Kama kweli hilo tukio la kukamatwa na polisi mkiwa wote akafanya hayo uliyosema, na alishakuambia mambo yake na kukuonesha passport yake na wewe umekuja kueleza japa yote huoni kwamba ataipata hii stori yako na atakujua wewe ni nani hivyo atakushughulikia? Huoni unaweka hatarini kama stori yako ni ya kweli? Au tuseme hizo stori zako na sifa za huyo jamaa ni za kweli lakini wewe ni mzembe usifikiri kabla ya kuongea au kuandika?
Hahaha duniani usiwe muoga sana mkuu,niliyosema yote ni kweli,hata mimi namtafuta ila nipo mbali sana,ila naamini nitakutana naye siku moja.Yawezekana akawa humu akipitia hii thread lazima anicheki PM,na ni poa tu.
 
Dah nakumbuka kulikua na uzi humu wa kuhusu ile ajali na Chacha na alikua active kujibu maswali, The kid is smart
 
Pole mkuu,huyu dogo ni ndugu yake na Membe,amesoma Libya kama miaka minne,anaongea kiarabu vibaya sana,nilimjua mwaka 2008 tuliishi jirani maeneo ya Mwenge TRA,alikuwa akinifundisha kiarabu.,siku moja tulichelewa street mpaka saa 7 usiku, nilikuwa nakunywa yeye anywi tukipiga story,tukapitiwa na defender la polisi,tukapelekwa kituoni-mabatini,ndo nilijua jamaa sio wa kawaida,2 of alichenjia askari watatu kwa kungfu pale kituoni,mpaka akapigiwa simu mkuu wa kituo saa nane akaja,akamhoji zaidi ya nusu saa,dogo akampiga mkwara mkuu wa kituo kuwa akiamua wote kituoni hawamuwezi kwa mikono au silaha,mwishoni akampa namba mkuu wa kituo aipige apewe maelekezo,mpaka leo sijui ilikuwa namba ya nani,tukaachiwa palepale,baada ya muda tukapoteana,ghafla nakuja kumuona kwenye gazeti kadondoka na Chacha wangwe,Chacha ni.marehemu,gari nyang'anyang'a,yeye mzima hana hata kovu,ana bandeji ya kuzuga mkononi,niliogopa sana,huyu dogo sio.mtu mzuri yupo trained deeply,mpaka leo naamini ana backup ya serikali.Sielewi kwanini alitapeli baadhi ya watu,ila sio mtu mzuri.Story ni ndefu nimeifupisha,pole mkuu.
Duh. Kuna watu wanakuwa trained Kwa ajili yakufanya jambo flan LA watu flan

invest what you are willing to lose
 
Mkuu huyu dogo kama fala ila hatari,nilipomuona kwenye gazeti nilimwambia mtu hakai ndani hata mwaka ikibidi atatolewa mlango wa nyuma,akiwa kwenye jamii ni mpole sana na rafiki sana huwezi muhisi vibaya,aliniamini sana siku moja akanionyesha passport yake,hizo viza za nchi nilizoona ndo nikajua na deal na mtu wa aina gani,halo hii nchi msiichukulie poa.
Kuna siku tulikuwa naye pale Kinondoni alipokuwa amepanga. Alitusimulia mengi sana ambayo sintayataja kwa sababu mbalimbali. Siku hiyo umeme ulikatika tangu mchana. Sasa ilipofika jioni kama saa 12 na umeme haujarudi jamaa akang'aka "Ala! Yaani wamepitisha muda wa kurudisha umeme? Kwa nini?" Akachomoa simu yake na kupiga. Nilichosikia ni kujitambulisha kwa namba, hakutaja jina. Akafoka pale kwa nini umeme haujarudi na upande wa pili ukaomba radhi kwa kuvvusha muda. Ni ndani ya hiyo dakika umeme ukarudi. Nami ndo nikajua naongea na mtu wa namna gani. Jamaa ni mpole sana na mtaratibu anapoongea, ila nadhani ni mtu mzito.
 
Pumzi inamuhadaa, ipo siku isiyo na jina litakalompata atajutia maisha yake yote

invest what you are willing to lose
 
Huyu jamaa yupo ofisini Ufipa, ukienda hapo utamkuta anapiga kazi.
 
Kuna siku tulikuwa naye pale Kinondoni alipokuwa amepanga. Alitusimulia mengi sana ambayo sintayataja kwa sababu mbalimbali. Siku hiyo umeme ulikatika tangu mchana. Sasa ilipofika jioni kama saa 12 na umeme haujarudi jamaa akang'aka "Ala! Yaani wamepitisha muda wa kurudisha umeme? Kwa nini?" Akachomoa simu yake na kupiga. Nilichosikia ni kujitambulisha kwa namba, hakutaja jina. Akafoka pale kwa nini umeme haujarudi na upande wa pili ukaomba radhi kwa kuvvusha muda. Ni ndani ya hiyo dakika umeme ukarudi. Nami ndo nikajua naongea na mtu wa namna gani. Jamaa ni mpole sana na mtaratibu anapoongea, ila nadhani ni mtu mzito.
Inawezekana sio Usalama ila amegundua anahisiwa hivyo na anajua ABC za kitengo na anajua wabongo wengi wakiwemo watu wa Serikalini huwa ukiwaambia Mtu wa kitengo ukajiamini hawakuhoji sana zaidi ya kukuhofia unganisha dots kwenye kutapeli Watu wanaolalamika humu ndio utajua ni mjanja mjanja wa mjini na wapo kibao town hasa enzi za Jk
 
Back
Top Bottom