Yuko wapi Deus Malya?

Acheni mambo yenu huyu jamaa alishindwa hadi kulipa umeme kinondoni...hana kitu

carnte himself
Daah Huu uzi umenikumbusha mbali, huyu Jamaa atakua katapeli wengi saana, Mimi nakumbuka alinitapeli Kama laki3 Hivi, aliniambia kua ana kampun ya kuchapisha vitabu, pesa nilimpa Kama Advance kwa kumwamini, badae sikuamini Kama ni tapeli, Kama bado anaendelea na kazi Hiyo basi had sasa atakua na Hali mbaya, kwa sababu ni Kama miaka minne imepita Tangu nimuone
 
Huu Uzi haunogi bila picha yake......mwenye picha yake pls.

Sent from my Compaq desktop-1997 Using Jamiiforums desktop app
 
Kauaji ka Chacha wangwe katakuwa kapo mitaani kanataabika kwa laana ya wangwe.
 
Kuna mambo ya hatari sana. Ndio maana hata taarifa nyingi za habari ni zakupika hata huko duniani. Kweli kuna vitu vingi sana maana kadiri unavyosikia unaanza muogopa kila mtu
 
Huu Uzi haunogi bila picha yake......mwenye picha yake pls.

Sent from my Compaq desktop-1997 Using Jamiiforums desktop app
malllyaa.jpg
3.JPG
 
Shukrani sana Mkuu.......ukimcheck kama fala flani lakini sifa anazomwagiwa tofauti na sura yake.

Sent from my Compaq desktop-1997 Using Jamiiforums desktop app
Mkuu huyu dogo kama fala ila hatari,nilipomuona kwenye gazeti nilimwambia mtu hakai ndani hata mwaka ikibidi atatolewa mlango wa nyuma,akiwa kwenye jamii ni mpole sana na rafiki sana huwezi muhisi vibaya,aliniamini sana siku moja akanionyesha passport yake,hizo viza za nchi nilizoona ndo nikajua na deal na mtu wa aina gani,halo hii nchi msiichukulie poa.
 
Ni gaidi mkubwa kakini laana ya Chacha wangwe ilimkamata ndiyo maana kachoka mbaya.
 
Deus malya Na Kijana mwingine. Ludovick Hawa vijana wamekua wapiga dili tu Salish stimuli she a sana kwa maswala ya kigaidi kiaramia sana
 
Hu

Huyu ndiye Deus Malya,very simple ana kama matege kwa mbali,wakati mwingine hupendelea kuvaa kaptula,ila mchokoze uone ni noma na ana habari nyingi za kidunia na za kweli ndo maana ni rahisi kukuingiza mkenge.
Hatari sana
 
Mkuu huyu dogo kama fala ila hatari,nilipomuona kwenye gazeti nilimwambia mtu hakai ndani hata mwaka ikibidi atatolewa mlango wa nyuma,akiwa kwenye jamii ni mpole sana na rafiki sana huwezi muhisi vibaya,aliniamini sana siku moja akanionyesha passport yake,hizo viza za nchi nilizoona ndo nikajua na deal na mtu wa aina gani,halo hii nchi msiichukulie poa.
Wewe ni muongo tu. Kama kweli hilo tukio la kukamatwa na polisi mkiwa wote akafanya hayo uliyosema, na alishakuambia mambo yake na kukuonesha passport yake na wewe umekuja kueleza hapa yote huoni kwamba ataipata hii stori yako na atakujua wewe ni nani hivyo atakushughulikia? Huoni unajiweka hatarini kama stori yako ni ya kweli? Au tuseme hizo stori zako na sifa za huyo jamaa ni za kweli huoni kuwa wewe ni mzembe usiefikiri kabla ya kuongea au kuandika?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom