Hivi kutakuja kutokea kizazi cha bongofleva kama hiki kweli?
D Knob
CPwaa(RIP)
Mangwea(RIP)
Matonya
Dudubaya
Mr Nice(Mzee wa TAKEU style)
Daz Baba(Daz Nundaz)
TMK Family
Tip Top Connection
Fid Q
Langa
TID
Prof Jay
Mwana FA
AY
Joh Makini
Bonta Maarifa
Chid Benz
Noorah
Na wengine wengi.
Kizazi cha hivi tutakitoa wapi tena wakuu.
Nimechoka kusikiliza hawa wabana pua kinoma, sio marapa sio waimbaji wote wanabana pua. Wazee wa SI WANAPENDA KUBANG
Narudi nyumbani namkuta mama kibarazani
Huku niko bwaataa halafu na chupa ya Krest mfukoni
Huu Ahhhh!!!!
Sura amekunja eti staki school kisa afande Mkiza ananiburuza kwenye madawati
Hu Ahhhh!