Musiba alikuwa mtu wa kitengo na alishamiri sana enzi za yule balozi wetu kule NAMIBIA [ Kipilimba] alipokuwa mkuu wa kitengo!! Cha kushangaza ni pale yule Mkuu wa kitengo kumfadhiri Musiba wakati huo huo alikuwa karibu sana na NYOKA WA MDIMU [ Membe]!! Hata kutolewa kwake jiwe alihisi kuwa alikuwa anavujisha siri kwa Membe!..na huo uchonganishi aliufanya kwa miaka 5+ bila Raisi, serikali, au Ccm kuchukua hatua.
..je, nani alikuwa anamtuma Musiba?
..Nani alikuwa anamlipa na kumuwezesha Musiba?
..Kwa mfano, nani alimsaidia Musiba kumdukua Membe, na wenzake?
..Nani alikuwa anamlinda Musiba?
Yatima Hadeki ujueNdugu wadau
Wote tunamkumbuka ndugu Musiba alivyokuwa mzungumzaji enzi za Mwendazake. Enzi za Mwendazake Musiba alikuwa Katibu Msaidizi wa Bashiru Ally, Msaidizi wa Katibu mwenezi wa Polepole. Tangu Mwendazake aende na Ndugu Membe kumpeleka mahakamani kwamba alimchafua.
Huyu nguli Yuko wapi maaana Kawa kimya sana na Wala Yale magazeti yake ya Tanzanite yamekuwa adimu sanaaa'
Anatafuta hela ya kumlipa MembeNdugu wadau
Wote tunamkumbuka ndugu Musiba alivyokuwa mzungumzaji enzi za Mwendazake. Enzi za Mwendazake Musiba alikuwa Katibu Msaidizi wa Bashiru Ally, Msaidizi wa Katibu mwenezi wa Polepole. Tangu Mwendazake aende na Ndugu Membe kumpeleka mahakamani kwamba alimchafua.
Huyu nguli Yuko wapi maaana Kawa kimya sana na Wala Yale magazeti yake ya Tanzanite yamekuwa adimu sanaaa'
Tujifunze kusameheana! Musiba asamehewe!!
Alitakiwa ashitakiwe yule mpuuziHuyu Jamaa kwa maoni yangu alichangia sana kumchonganisha Hayati Rais wetu JPM na watu waliopaswa kuwa Watetezi wake
Aombe tu radhi ila asisamehewe..Musiba akiri makosa.
..aombe radhi.
..ndipo asamehewe.
Aombe tu radhi ila asisamehewe
SanasanaKila jambo lina mwisho wake,Tuiheshimu sana jamii ituzungukayo
Tumuombee sana,.. Mungu hadhihakiwi .. Anachopitia kiwe funzo na kwetu piaNdugu wadau
Wote tunamkumbuka ndugu Musiba alivyokuwa mzungumzaji enzi za Mwendazake. Enzi za Mwendazake Musiba alikuwa Katibu Msaidizi wa Bashiru Ally, Msaidizi wa Katibu mwenezi wa Polepole. Tangu Mwendazake aende na Ndugu Membe kumpeleka mahakamani kwamba alimchafua.
Huyu nguli Yuko wapi maaana Kawa kimya sana na Wala Yale magazeti yake ya Tanzanite yamekuwa adimu sanaaa'
Hakika aiseeeTumuombee sana,.. Mungu hadhihakiwi .. Anachopitia kiwe funzo na kwetu pia
tuiheshimu pia internet never forget! nani ana clips zake atupie JF!Kila jambo lina mwisho wake,Tuiheshimu sana jamii ituzungukayo
Kudondosha machozi?Kwa nini mkuu?
Anachanga hela za kumlipa Membe.Huyu nguli Yuko wapi maaana Kawa kimya sana na Wala Yale magazeti yake ya Tanzanite yamekuwa adimu sanaaa'
Jamaa alisumbua sana watu aisee,huenda ile ilikuwa 'project maalum' ya kuwalenga watu fulani wenye ushawishi ili kuwachafulia sifa na majina...na huo uchonganishi aliufanya kwa miaka 5+ bila Raisi, serikali, au Ccm kuchukua hatua.
..je, nani alikuwa anamtuma Musiba?
..Nani alikuwa anamlipa na kumuwezesha Musiba?
..Kwa mfano, nani alimsaidia Musiba kumdukua Membe, na wenzake?
..Nani alikuwa anamlinda Musiba?
Kwamba yote aliyofanya hakutumwa na mtu ila utashi wake tu?..Huyu Jamaa kwa maoni yangu alichangia sana kumchonganisha Hayati Rais wetu JPM na watu waliopaswa kuwa Watetezi wake
Kuna kipindi alitaka kurudi akapotezewa, alianza kumsifu mama na kusema yuko tayari kumlinda.harudi tena ,ndo tatizo la kuonyesha rangi yako wakati umefanikiwa ,sasa hivi sukuma gang ni ngumu sana kurudi ikulu na jamaa amewatukana karibia kundi lote la kikwete.