Yuko wapi Cyprian Majura Musiba?

UKIMWONA UNAWEZA KUDINDOSHA MACHOZI

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Bila Shaka atakuwa pangoni hivisasa na anaogopa kutolewamoπŸ€”
 
Wengi humu ni wanafiki sana! Mlimsifia sana Musiba kwa ujasiri wake leo tena mmemgeuka! Matanzania manafiki sana!
 
Lakini mlimuunga mkono. Sema sasahivi ndio mnapata akili. Wakati ule mlikuwa hamuambiwi kitu.

Rais Samia yeye kajifunza, kaona pesa na mali ni vitu vya kupita, ajira ametoa, mishara kapandisha na Malupu lupu juu.

Tunasubiri Katiba Mpya tu baasi.
Na mfumuko wa bei juu
 
Musiba kapata msiba!
 
Forgerer-in-Chief, Magufuli.
 
Hata miye nimemmic mwanaharakati huru wakati ule ilikuwa haipiti wiki amelipuwa kombora daah sasa amepotea kabisa.Hakika tuishi na watu vema.Pesa,umaarufu si kitu.Miye nyumba yangu ya udongo haihimili vishindo.Kwangu maskini.Matajiri,wenye elimu na wasiyo na elimu watu wangu wote kwa usawa.
 
Huyu Musiba huyu kinacho enda kumkuta ni kile wanacho pambana nacho kwenye orodha hii:
1. Ole Sabaya.
2. Paul Makonda
3. X. Musiba.
 
Amelipa hela za watu? Labda kajichimbia mahali anaoggopa.
 
Kwani ukitaka kumtafuta shetani si unaenda kuzimu?
Yuko huko.
 
Huyo Mwendazake ndio nani? Lazima ni maarufu sana.

Musiba kajenga nyumba na kaoa, nasikia rafiki yake JK alimsaidia kwenye mchango.

Huyo hatakiwi hapa aende kuajiriwa na fox nyuuz.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…