Yuko wapi Chiku Lweno wa ITV?

Yuko wapi Chiku Lweno wa ITV?

Najaribu kumtafuta kwenye simu lakini hapatikani, labda amehamia BBC
 
Wanajamvi mambo?

Kwa leo nimekubuka mengi ila nataka kujua yuko wapi dada mmoja mtangazaji wa ITV Chiku Lweno? Hivi kweli aliomba permanent contract kutoka kwa Joyce Mhavile mnyarwanda katili, akamtimua? Tujuzane kama yupo humu ajitokeze.
Huyu ni mnyarwanda?
 
Kwao hayupo. UFO ni wa Mkoa wa Arusha, Wilaya ya Karatu, Kijiji cha Bassodawish na Kitongoji cha shangit. Angekuwa nyumbani ningemwona.
Basi yeye na mchumba wake watakuwa wamejifungia mahali, WANAFAHAMIANA kwa undani zaidi....
 
Wanajamvi mambo?

Kwa leo nimekubuka mengi ila nataka kujua yuko wapi dada mmoja mtangazaji wa ITV Chiku Lweno? Hivi kweli aliomba permanent contract kutoka kwa Joyce Mhavile mnyarwanda katili, akamtimua? Tujuzane kama yupo humu ajitokeze.

Kumbe Bi Joyce ni mnyarwanda
 
Joyce sio mnyarwanda ni mbena wa njombe

Back
Top Bottom