Yuko wapi Chiku Lweno wa ITV?

sifi leo

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
5,099
8,727
Wanajamvi mambo?

Kwa leo nimekubuka mengi ila nataka kujua yuko wapi dada mmoja mtangazaji wa ITV Chiku Lweno? Hivi kweli aliomba permanent contract kutoka kwa Joyce Mhavile mnyarwanda katili, akamtimua? Tujuzane kama yupo humu ajitokeze.
 
WANAJAMVI MAMBO? kwa leo nimekubuka mengi ila nataka kujua yuklo wapi dada mmoja mtangazaji wa ITV chiku Mwano? ivi kweli aliomba permanent contract kuoka kwa joiyce mhavire mnyarwanda katil, akamtimua? tujuzane kama yupo humu ajitokeze
Chiku Lweno.
 
Na mimi nimkumbuke Christi e Chakunegela wa RTD kwa taarifa ya habari saa nne usiku sijui yu wapi huyu Mama
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom