Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,086
- 34,093
AnajifuaJamaa alichimba biti zito la mdogo wake kuachiwa ndani ya masaa 24, yakipita hayo masaa atakinukisha vibaya mno.
Cha ajabu yamepita masaa, siku, wiki, mwezi hatimaye miezi sasa jamaa hakuna lolote alilolifanya.
Je yeye ndiye amefanyiziwa? Huu ukimya unaleta mashaka.
Wewe unajua kwanini kizimkazi kajificha mchanbawima!?Jamaa alichimba biti zito la mdogo wake kuachiwa ndani ya masaa 24, yakipita hayo masaa atakinukisha vibaya mno.
Cha ajabu yamepita masaa, siku, wiki, mwezi hatimaye miezi sasa jamaa hakuna lolote alilolifanya.
Je yeye ndiye amefanyiziwa? Huu ukimya unaleta mashaka.
Ametuangusha sana π€£π€£π€£π€£π€£π€£Namsubiri nyani kasoro mkia aje kuchamba πΉπΉπΉ
Bana weeh kanali naye miyeyusho kweli, ndugu yako anateseka yeye mabiti mengi vitendo zero..!! π€£
Chai yuleJamaa alichimba biti zito la mdogo wake kuachiwa ndani ya masaa 24, yakipita hayo masaa atakinukisha vibaya mno.
Cha ajabu yamepita masaa, siku, wiki, mwezi hatimaye miezi sasa jamaa hakuna lolote alilolifanya.
Je yeye ndiye amefanyiziwa? Huu ukimya unaleta mashaka.
ππππππNamsubiri nyani kasoro mkia aje kuchamba πΉπΉπΉ
Bana weeh kanali naye miyeyusho kweli, ndugu yako anateseka yeye mabiti mengi vitendo zero..!! π€£
Baby njoo tuyajenge ya kwetu tumwache Uwongostino Polepole apigishane mikwara na vikaragosi wenzake.ππππππ
Anajifua au anajichua?Anajifua
πππππBaby njoo tuyajenge ya kwetu tumwache Uwongostino Polepole apigishane mikwara na vikaragosi wenzake.
Kumbe bado hujalala tu baby.πππππ
Huyo kawaiwa wote na mdogo wake wapo kaburini au laaah, basi alipoozwa na kitita Cha maana akaamua afunge domo, (tamaa za hela)Jamaa alichimba biti zito la mdogo wake kuachiwa ndani ya masaa 24, yakipita hayo masaa atakinukisha vibaya mno.
Cha ajabu yamepita masaa, siku, wiki, mwezi hatimaye miezi sasa jamaa hakuna lolote alilolifanya.
Je yeye ndiye amefanyiziwa? Huu ukimya unaleta mashaka.
Lamomy baby wangu nakupenda toto mzuriπππππNamsubiri nyani kasoro mkia aje kuchamba πΉπΉπΉ
Bana weeh kanali naye miyeyusho kweli, ndugu yako anateseka yeye mabiti mengi vitendo zero..!! π€£
YessKumbe bado hujalala tu baby.
Nawe pia.πππππ.
Usiku mwema!