Yuko wapi afisa habari wa yanga Haji Sande Manara?

Habari Jf
Haji Manara ni msemaji saaana pindi pale timu yake inapofanya vizuri, atatumia media zote kuwasifia wachezaji wake na kuwananga vikali wapinzani wake

Kwa sasa tangu ahamie yanga kwa mbwembwe nyingi hali imekuwa tofauti, Haji Manara hasikiki popote pale

Haji yule wa simba aliyehamia yanga yuko wapi?
Kaja kwenye klabu inayojielewa. Yanga hatuwezi kumruhusu Manara atukane watu mitandaoni kama alivyokuwa anaruhusiwa kwenye timu ile ya mambumbu fc
 
Back
Top Bottom