Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,268
- 17,097
- Thread starter
- #21
Mzee Sitta yupo Nairobi kikazi
Yeye , Mmembe na JK wote wmekimbia moto wakiwa na fire extinguishers!
Mzee Sitta yupo Nairobi kikazi
Mzee Sitta yupo Nairobi kikazi
hata mie najua yuko nairobi naona watu wengine wameamua kuzusha sada
Mzee Sitta yupo Nairobi kikazi[/QUOTE
Mkuu Invisible, sifurahii mtu kupewa ban lakini member alieleta uzushi wa Mh Sita kujiuzulu ubunge anastahili ban, labda iwe confirmed!
asante kwa ufafanuzi.!
Mzee Sitta yupo Nairobi kikazi[/QUOTE
Mkuu Invisible, sifurahii mtu kupewa ban lakini member alieleta uzushi wa Mh Sita kujiuzulu ubunge anastahili ban, labda iwe confirmed!
naunga mkono hoja. Huyu jamaa aliyezusha, afungiwe maisha kabisa. kawadanganya watanzania. niliamua kuwatafuta SIBUKA, kwa bahati mbaya namba za simu walizoweka, ni za mafundi sio za studio. hivyo nilivyopiga sikupata chochote. namba ya fx nimepiga hikupokelewa, sina elimu kama fax unaweza kuitumia kupiga. namba hiyo ni+255 22 2772847.
afutwe JF
sita kavua gamba source sibuka fm
Kaka naona mmeitoa ile thread ya ''kizushi''........JF integrity first!
Ila mbona mmenitolea u-expert katika membership without any because?lol