Yu wapi Sitta?

kwa mpango huu ndipo wataonekana wanaofaa kugomea urais mwaka 2015 kutoka ndani ya CCM. Nina hakika kabisa kuwa Mheshimiwa Edward Lowasa atakuwa wa kwanza kusaini kwa wabunge chama chake kudhihrisha kuwa yeye si FISADI bali ni serikali yake tu. wengine ni Akina Sita, Mwakyembe na wengine kudhihirisha kuwa wao ni wazalendo halisi na wana uchungu na nchi hii. unajua siku zote huwa njia ya mwongo ni fupi.

Kama uko serious, fuatlia hii :.Dar es salm; Wziri mkuu wa Tanzania mh Deo Filiku, amemwagiza ndugu M.z.p kurejtsha,,.".
 
Mbona mzee wa standard n speed hasikiki kwenye hili sakata la waziri mkuu na mawaziri wenzie
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom