Yu wapi Mwanasiasa Shyrose Bhanji??

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Jan 10, 2009
5,471
734
Aisee huyu sijamsikia kabisa hivi mwaka huu hakugombea hata viti maalumu maana 2005 alikuwa machachari sana??


 

Attachments

  • shyrose.jpg
    76.7 KB · Views: 506
  • shyrose2.jpg
    63 KB · Views: 487
  • shyJK2.jpg
    43.4 KB · Views: 482
Dogo nyani ngabu kama hujui matumizi bora ya mtindi wakati wa kula chakula cha usiku, kaa kimya au subiri ukikua mkubwa utajurishwa na kungwi/ngariba wako.

Unaionaje lakini wewe hiyo nido yake? Inahusika?
 
Walimchakachulia matokeo ya kura za maoni jimbo la kinondoni hana hamu tena!

Inawezekana mkwere hajatembelea maeneo hayo ndio maana hali hiyo ikajitokeza na kama mkwere angepita hapo basi kusingekuwa na kipingamizi.
 
Mwanadada alijituma sana kuwa karibu na fammilia ya JK na clouds fm, ila sijui Mheshimiwa hajamuona au inakuaje ,labda atamkumbuka kwa ukuuwa kata.
 
...Inawezekana hajawaona Wazee wakamuona kuwa 'Ni Mwenzetu' na ndio maana kila anapojaribu kutia mguu kwenye nafasi za kisiasa anatoka kapa.
 
Msitukane Mamba kabla ya kuvuka mto, hata kama Mamba mwenyewe ni jike, labda Mkwere atampa ukuu wa wilaya kama mwenzake Nape....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…