Yu wapi Mwanasiasa Shyrose Bhanji??

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Jan 10, 2009
5,469
728
Aisee huyu sijamsikia kabisa hivi mwaka huu hakugombea hata viti maalumu maana 2005 alikuwa machachari sana??

attachment.php
attachment.php

attachment.php
 

Attachments

  • shyrose.jpg
    shyrose.jpg
    110.2 KB · Views: 504
  • shyrose2.jpg
    shyrose2.jpg
    87.9 KB · Views: 485
  • shyJK2.jpg
    shyJK2.jpg
    60.4 KB · Views: 480

Mtoto wa Kishua

JF-Expert Member
Oct 15, 2009
834
147
Mwanadada alijituma sana kuwa karibu na fammilia ya JK na clouds fm, ila sijui Mheshimiwa hajamuona au inakuaje ,labda atamkumbuka kwa ukuuwa kata.
 

BabaDesi

JF-Expert Member
Jun 30, 2007
5,428
3,188
...Inawezekana hajawaona Wazee wakamuona kuwa 'Ni Mwenzetu' na ndio maana kila anapojaribu kutia mguu kwenye nafasi za kisiasa anatoka kapa.
 

Bantugbro

JF-Expert Member
Feb 22, 2009
4,476
4,242
Msitukane Mamba kabla ya kuvuka mto, hata kama Mamba mwenyewe ni jike, labda Mkwere atampa ukuu wa wilaya kama mwenzake Nape....
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom