hana lolote, akilini kwake alijua mchaga mwenzie Mrema atashinda ili yeye apae kisiasa, bahati yake mbaya hakujua kama sisiemu ni jiwe la kifisadi, akajikwaa na kudondokea pua....kama kipindi kile alikuwa na akili, kwani siku hizi akili zimeenda wapi? walimkata kichwa? ni kwamba hana lolote, choka mbaya, na watoto mitaanni kibao kila mtaa ana watoto....pesa hamna anasubiria kamshahara ka kichuo cha tumaini kile cha kurasini.....ukijiona uko juu, usifikiri umefika, uwe tayari kwa lolote, kama una akili fanya mambo sio kwa kujilipua/kujitoa mhanga bila akili, fanya kwa kujenga future yako..
sasa mrema aliyekuwa anamkimbilia, tena kikabila kwasababu ni mchaga mwenzie yuko wapi? mbona ni kichekesho kabisa katika siasa, walifuata kivuli cha mtu, mrema ni kichekesho, kweli akili za mbayuwayu changanya na za kwako...nyie mliobaki jifunzeni kwa mwenzenu.