Yu wapi Dkt. Masumbuko Lamwai?

namuona mjini na landcruiser mbovu... amshukuru mrema kwa kumuweka kwenye chati.... yaani huyu ndo kawa mpambeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee wa wakubwa
 
Nenda kunduchi beach ndiko kuna nyumba yake! Tangu miaka hyo hadi leo hajamalza kujenga.... Loh.
 
yuko pale empress Cinema ya Zamani, Opp na New Africa anasugua Bench la CCM , yalimkuta bora angeendelea kuwa Mpinzani kuliko kula matapishi yake, ytamkuta ata Kaburu wa KGM , anatembelea landcreuiser Asante Mrema na Carina ya mwaka 1988 box board, anagombana na mateksi driver kupta parking ya bure pare empress cinema, yupo karibu na ofisi ya BAKITA
 
MKAPA%252C+Benjamin+%2528habari+na+Utamaduni+1985%2529.JPG
 
huyu sio traitor ni intelectual na tunamuamini

Hata hao anaowatumikia kwa sasa( CCMm) hawamwamini, Wanaharakati wa enzi zile walimuaamini sana lakini alikuja kuwapiga super changa la macho... hivyo na wewe endelea kumuaamini tuuu utauona mwisho wake
 
Hata hao anaowatumikia kwa sasa( CCMm) hawamwamini, Wanaharakati wa enzi zile walimuaamini sana lakini alikuja kuwapiga super changa la macho... hivyo na wewe endelea kumuaamini tuuu utauona mwisho wake

Bado anavizia baadhi ya vikesi na ndiyo kula yake. Elimu haimtupi mtu
 
Jamani, mbona hivo?? Pamoja na yote hayo, nani kampima Dr Masumbuko Lamwai na kumkuta AFYA GOGORO???

Nakumbuka huyu bwana ndiye mtu pekee ninayemfahamu katika maisha yangu yote kuwahi kuwa Diwani na wakati huo huo ni Mbunge pia wa kiti tulichoamua kumpa mwenzetu John Mnyika.

Lakini pepo lilichukua Ndugu Roman siku ile mpaka kupanda jukuani na kupiga magoti mithili ya mwana mpotevu kurudi nyumbani bado nimeshindwa hata leo kupata tafsiri yake.

Mara baada ya pale nilipata kusikia kwamba alitumiwa barua ya onyo na UDSM kwamba ilikua ni zaidi ya miaka mitatu kwa miaka hiyo ambapo alikua hajawahi kuka chini na kutulia akaandika japo ka-paper kamoja ya kuendelea kufanyia nalo palizi PhD yake.

Kwani na ile Quarentine ya CCM kwamba anaweza tu kuendesha shughuli zake za kisheria Visiwani tu na wala si Bara nayo ikoje, ilishatakashwa baada ya kurudi kwenye hilo jumba la mafisadi au??? Sasa hili la U-Dean of Students, makubwa!!!!

Hebu wenye picha yake akisaliti NCCR-Manunuzi (sorry Mageuzi) kwa kumuangukia Mh BWM wekeni hapa tukakumbuke kidogo.
 
Wana JF

Nimemkumbuka aliyekuwa mpiganaji mzuri Dr Lamwai lakini akachakachuliwa na chama cha mafidi CCM. Hivi huyu yupo wapi siku hizi.
 
Kweli mkuu umenifanya na mimi nimkumbuke Walid Kabourou... maamuzi mabovu huwa na mwisho mbaya!!! :hatari:
 
Huyu alikuwa mpiganaji mzuri akachakachuliwa na chama cha mafisadi wakamtema hivi yuko wapi siku hizi mbona si msikii.
 
Wana JF

Nimemkumbuka aliyekuwa mpiganaji mzuri Dr Lamwai lakini akachakachuliwa na chama cha mafidi CCM. Hivi huyu yupo wapi siku hizi.
Masumbuko anasumbuka mitaani CCM wamemtelekeza baada ya kumtoa upinzni!!!
Kweli mkuu umenifanya na mimi nimkumbuke Walid Kabourou... maamuzi mabovu huwa na mwisho mbaya!!! :hatari:
Huyu hata kwao hawezi kwenda pale ujiji kaacha kila kitu na vi canter vyake vimepakiukipita unaenda zako Airport ya Kigoma unaambiwa pale nipa DR Kabaroho!!
 
Back
Top Bottom