Mkuu sio alosoma kasoma. huyu jamaa alikumbwa na kimbunga kinachoitwa ''Hurricane Mkapa'' akasimamishwa kuwa lecturer UD, akaporwa leseni ya uwakili, mwanae akapata ajali akiendesha gari la dingi yake la ubunge. Baada ya kimbunga hicho akaamua kurudi CCM na vyote akarudishiwa kasoro utu wake tu ndo CCM waliuchukua.