MIGUGO
JF-Expert Member
- Dec 3, 2011
- 2,137
- 3,942
Hapa wanamuongelea askari lakini.Mambo ya Daslam, nimekumbuka wauza minazi pale ubungo mataa pamoja na soko kubwa tu la bidhaa mbalimbali(ilipo stendi ya daladala), kulikuwa na hoteli opposite na Olicom pale Tanesco wale Wapemba walikuwa wanauza Kashata na kalimati balaa.
Ila kitambo ng'ambo ya minazi kulikuwa na hospitali inaitwa Barukta nadhani kwa ndani kidogo.