Tit 4 Tat
JF-Expert Member
- Aug 7, 2015
- 737
- 986
Kuna jamaa zangu kadhaa wanafanya hiyo kitu.nahitaji kufungua youtube ac ambayo nitakuwa naupload content za highlights za EPL(football)
yoyote mwenye ujuzi?nianzaje?
Ila mara nyingi wanaambulia copyright strike mwishowe kufungiwa channel zao
Na kindi cha nyuma kidogo kulikuwa na hela nzuri lakn saizi wamepunguza mbumba.
Kama unataka kufanya ww fanya ila hakikisha unakuwa na walau channel mbili, hizo highlights kublockiwa ni suala la sekunde.