Youtubers tukutane hapa

Youtubers tukutane hapa

Comments za youtube zinaboa kila mtu anaomba like bhanahawa watu wananiboa sana.
Utakuta "wa kwanza kuview naomba like zenu" , mara nipeni like 100 kwa ajili ya fulani, mwenzenu sijawahi kupata like jamani naombeni tano tu.. kama unaikubali hii ngoma gonga like twende sawa... dah!
Sasa znakukera nn mkuu?
 
Wataalam vipi kuhusu leseni? Serikali imebadili kanuni au ndio ukitaka unajilipua?
Leseni bado inakubidi uwe nayo labda kama unafanya sanaa ndio hutahusika nayo.
Ila walisema wafanye maboresho walau jinsi ya kujisajili utumie pesa kidogo.
 
Kuna jamaa zangu kadhaa wanafanya hiyo kitu.

Ila mara nyingi wanaambulia copyright strike mwishowe kufungiwa channel zao

Na kindi cha nyuma kidogo kulikuwa na hela nzuri lakn saizi wamepunguza mbumba.

Kama unataka kufanya ww fanya ila hakikisha unakuwa na walau channel mbili, hizo highlights kublockiwa ni suala la sekunde.
Mimi nafanya hio kitu 2 years sasa hua na embed beat ambazo hazina copyright una download youtube tu free naaipigwi strike na matangazo napewa
 
Mimi nafanya hio kitu 2 years sasa hua na embed beat ambazo hazina copyright una download youtube tu free naaipigwi strike na matangazo napewa
Mkuu pia jaribu kushea njia ya malipo unavyo pokea kutoka Google AdSense
 
Hivi kwa YouTube hakuna uwezekano wa kuunganisha Matangazo mengine tofauti na Google?

Mfano Adcash, Amazon, n.k
 
Back
Top Bottom