Youtubers tukutane hapa

Wakuu kama kuna anae fahamu app nzuri kwa ajili ya editing za faster na slowly, kuweka maneno yanayo pita wakati video ikiplay na mix za haraka haraka za video pamoja na sauti atujuze
 
Wakuu natafuta software isiyotumia nguvu nyingi kwa ajili ya kuandaa audio visual with texts . yaani YouTube video ambayo ni mchanganyiko wa Picha na Maneno tu bila Mimi kujirecord video.msaada yutubaz
Tumia 'My video' utainjoy mpk ukome inafanya yote hayo unayotaka na ambayo huyataki na nina amini utayataka tu.

Pia imeongezwa feature kibao za bure, nadhani itakusaidia sana.
 
Tumia 'My video' utainjoy mpk ukome inafanya yote hayo unayotaka na ambayo huyataki na nina amini utayataka tu.

Pia imeongezwa feature kibao za bure, nadhani itakusaidia sana.
Shukurani mkuu
 
Tumia 'My video' utainjoy mpk ukome inafanya yote hayo unayotaka na ambayo huyataki na nina amini utayataka tu.

Pia imeongezwa feature kibao za bure, nadhani itakusaidia sana.
Mkuu nakushukuru Sana sana. Unaweza kuweka link ya hiyo software /app
 
Kuna jamaa zangu kadhaa wanafanya hiyo kitu.

Ila mara nyingi wanaambulia copyright strike mwishowe kufungiwa channel zao

Na kindi cha nyuma kidogo kulikuwa na hela nzuri lakn saizi wamepunguza mbumba.

Kama unataka kufanya ww fanya ila hakikisha unakuwa na walau channel mbili, hizo highlights kublockiwa ni suala la sekunde.
ningependa kufahamu zaidi,source ya mechi mzima zinakuwa zinapatikana wapi?

video yenye copyright inakuwa na vity gani?
 
Ngoja nipate maujuzi hapa maana nina ka ' channel kangu youtube kana 'subuskraiba' chini ya 100. Nina kama mwaka sijaweka content mpya kwa sababu niliifungua kwa ajili ya kuweka nyimbo zangu, sema sasa muziki nimeuweka pembeni kidogo ila nitarudi siku za usoni nikijaaliwa.
 
ningependa kufahamu zaidi,source ya mechi mzima zinakuwa zinapatikana wapi?

video yenye copyright inakuwa na vity gani?
Copyright ni zile ambazo mmliki ame upload na kuziombea hakimiliki.
Hivyo hakimiliki inatambuliwa kwa video na sound.
Hivyo ukitaka kuepukana na hakimiliki badili sauti pamoja na kuongeza au kupunguza vitu kwenye video au kuifanyia editing
 
Back
Top Bottom