Youtubers tukutane hapa

Youtubers tukutane hapa

Ngoja nipate maujuzi hapa maana nina ka ' channel kangu youtube kana 'subuskraiba' chini ya 100. Nina kama mwaka sijaweka content mpya kwa sababu niliifungua kwa ajili ya kuweka nyimbo zangu, sema sasa muziki nimeuweka pembeni kidogo ila nitarudi siku za usoni nikijaaliwa.

Tafuta contect idea
 
ME NINGEOMBA TUCHANGIE IDEA ZA CONTECT ILI PIA WADAU WAPATE MWANGA
 
Wakuu kivipi nitaedit mandishi yawe yanapita kwenye video wakati ikicheza
 
Je ni app gani ambayo ulisha wahi kutumia au unaotumia kufanya editing za video kwa kuweka vitu vingi kama maandishi na vitu vingine.
Tujuzane ili na wengine tuijaribu
 
Ile niliyokuambia uliijaribu?
Mkuu my video nili download lakini sikuipata yenyewe hivyo ilikuja app flani nayo ni my video lakini imeandikwa kiarabu kila kitu.
Hivyo kama unaweza kuipata au unayo nisaidie link
 
Back
Top Bottom