Hamisikh
Member
- Aug 28, 2012
- 47
- 6
Namshukuru mola kwa kua sasa mambo ya kimtandao kidogo yamenikolea na kuisaliti analojia. Wapendwa mi natamani sana kuangalia videos youtube, ila tangu niiuze computer yangu sipati tena raha hiyo licha ya simu ninayotumia kua na uwezo mkubwa wa internet (quick browser, file uploads, java support etc). naomba kujulishwa ni program gani nikiiset nitaweza kuangalia youtube kupitia simu yangu? ...