Kuna ujinga fulani unachochewa na vilaza kwa makusudi....
Cha ajabu ni vilaza halafu choka mbovu, wameaamua kuegemea kwenye ujinga fulani wakidhani utawavusha.....
Huu si ni ujuha kuzima mitandao! Ni sawa na kukata tawi la mti huku umelipanda. Ni ushenzi fulani unafanyika. Njia ziko nyingi ukiziba moja zinatokea saba. Mafuriko ya maji huwa hayazuiliwi, utaweza kuzuia gharika?
Kuna ujinga fulani unachochewa na vilaza kwa makusudi....
Cha ajabu ni vilaza halafu choka mbovu, wameaamua kuegemea kwenye ujinga fulani wakidhani utawavusha.....