Veteran Sailor
JF-Expert Member
- May 28, 2025
- 1,670
- 3,271
Write your reply...
Kuna ujinga fulani unachochewa na vilaza kwa makusudi....Jamaa matako sana hili! Sijui linadanganya kwa faida ya nani?
Mkuu ,Sasa mtu alizalishwa akiwa form two.
Kaanza kulambwa na miaka 12 mnategemea awe na akili?
Sasa ni wakati wa waTanzania wote kuingia barabarani, kufanya mabadiliko na kukingoa chama hiki kongwe Dola kilichotawala kwa miaka 60.📌🔨Mkiambiwa No Reforms No Election mjiunge kwa maelfu katika vuguvugu / movement mkakataa mlifikiri hayatawakuta.
Sasa ni wakati wa waTanzania wote kuongia barabarani, kufanya mabadiliko na kukingoa chama hiki kongwe Dola kilichotawala kwa miaka 60.
Huyu mzee mpumbavu tu, katuburuza tangu kwenye kuchagua Makamu akatuletea li kilaza sasa anaendelea kuburuza tu!Kuna ujinga fulani unachochewa na vilaza kwa makusudi....
Cha ajabu ni vilaza halafu choka mbovu, wameaamua kuegemea kwenye ujinga fulani wakidhani utawavusha.....