Youtube.com: Siipati nikiwa China, je kuna anayeipata?

locust60

Senior Member
Oct 1, 2008
101
12
Wadau naomba kuuliza nipo nchini china kikindi cha nyuma youtube ilikuwa inapatikana kwa sasa ni kama miezi miwili hivi haipatikani,je nitatizo ya computer yangu au nini,naomba mwenye ufahamu na hilo anijuze.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom