You're not in love with me

You're not in love with me

Huyu ajifunze kutafuta wa urefu wa kamba yake
Maana hakuna namna nyingine, ajifunze na kukubaliana na hali halisi. Pia asitake kuuliza maswali mengi, maana watu husema majibu yake pengine huwezi kuyabeba au kuyahimili.
 
Just move on, improve yourself, make your life better today than yesterday, tafuta channels bora kwa ajil yako. Hadi unafika huko watakuwa washachokana au wameachana kabisa, then she will have regrets atakapokuja kujirudia and probably want you back, yaan akifanya hilo kosa tuu njoo upost hapa tutakupa majibu yanayoendana na hadh yake

NB: usiwe na hasira au uchu wa kusaka quick development ukamkosea Mungu wako.
 
Daah bora maana hadi nilishahisi njaa. Hii lugha ya wakoloni nayo ina ukoloni ndani take.
NaUnGa mKoNo hOjA.......
Maana hakuna kitu ngumu kama kupasua yai la mbuni....tehteehh
Hapa hadi jasho lantoka haki...
 
NaUnGa mKoNo hOjA.......
Maana hakuna kitu ngumu kama kupasua yai la mbuni....tehteehh
Hapa hadi jasho lantoka haki...
Hahahhahahaha nimecheka aisee. !!! Vile nimesahau hata kama nimekunywa chai si kwa njaa hii. Nilikuwa nawaza ukinipa yai la mbuni tena nitalipasuaje maana sina hali..
 
Hahahhahahaha nimecheka aisee. !!! Vile nimesahau hata kama nimekunywa chai si kwa njaa hii. Nilikuwa nawaza ukinipa yai la mbuni tena nitalipasuaje maana sina hali..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom