Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,585
Why...!??? Why Cleroo....
Wassapen...!!?? But why.... please don't. ...
Pressure from within, especially when the other part is doing too much to you and it is pure.
Am into that.

Gihiiiiiiii, umemuelewa sasa![]()
Pressure from within, especially when the other part is doing too much to you and it is pure.
Am into that.
Leo nitakuwa nimeamkia ubavu wa kushoto. Napigwa huku na huku.Mmh, najilaumu tu hapa, bora hata nisingetafuta hizo maana.
Ngoja nijifariji kwamba nimeelewa vibaya.

Huwa sio mchangiaji mzuri na huwa sipendi kuzungumza personal life mtandaoni, lkn inafika kipindi unaona kbsa umebeba mzigo mzito moyoni. The only solution nikuongea uwe free, uzuri wa jf hata nikiongea hatufahamian privacy hubaki pale pale.Mkuu malizia tafadhari, ina maana aliamua kuzaa na jamaa mwingine? Je huyo dada yuko wapi saiv
Aisee, hii ngumu kumeza mzee.. Wanawake ni viumbe hatari saanaHuwa sio mchangiaji mzuri na huwa sipendi kuzungumza personal life mtandaoni, lkn inafika kipindi unaona kbsa umebeba mzigo mzito moyoni. The only solution nikuongea uwe free, uzuri wa jf hata nikiongea hatufahamian privacy hubaki pale pale.
Initialy nilijisikia inferior labd sina swaga or am not her type, but... but.. we have been together for four years tokea first year st augustine university mpk tunamaliza chuo na kupata kazi, niwe tu honest chuoni kulikuwa na midume akimla demu wako inabd uwe mpole lkn hakushoboka kbsa .Bosi wake (kampuni ya M.. ..com )alimtaka sana lkn nikawa naletewa shitaka tu, nikajiona nmefika kumbe anashitakiwa mmoja mwingine apendwae anakula.
Hata baada ya kujua mimba sio yangu kuna mtu anakula siku break up, i dearly wanted to know the guy aliefanikiwa kumvua pichu bae wangu akamchanganya mpk akamzalia mtoto wakati mm nilikuwa nimeshabembeleza for a whole year baada ya kumaliza chuo anizalie akagoma kabisaa. Nilichojifunza women are devils in human body, nilikuwa napikiwa, nafuliwa nafanyiwa kila kitu napewa penzi na vilio vya mahaba naambiwa nnavyomridhisha(niwe mkweli kuna siku kidogo nmtie mabanzi tukiwa kwenye sita kwa sita). Niliona ananisanifu na kunikejeli!! Sio kila aneua amedhamiria kuna wakati nilikuwa natamani niamke usiku nimchinje, u cant i magine after sex anachukua simu yuko bize anachati tena na tabasamu murua kabisa!!!
Wanawake mna mioyo ya aina gani? Wanaume tunachepuka lkn sio kishetani hivi, anyway the story is too long and am geting too emotional than logical . Naishi na huyu mwanmke mpk leo sio kwa sababu mm zezeta nooo, nataka nmjue anaependwa huyo ambae yuko tayari kumzalisha mke wa mtu na it seems kila nikisafiri jamaa anamla kama kawaida, huyu mwanmke ni mjanja hata nyoka aliemdanganya eve pale bustani ya Eden hamfikii. Mpk leo sijawasikia wakiongea wala kuchati but viashiria vy mke kuliwa viko wazi wazi ,nilimpandikiza mtu kazini kwao anipe taarifa zake cha ajabu naambiwa ni mtulivu tu kazini na akitoka anakuja nyumbn. Kwa kweli am stuck upelelezi wangu miezi 8 mpk mtoto anakaribia kujifungua umegonga mwamba, ana mprotect huyo mtu wake kufa kupona nisimjue ! Siku upelelezi ukikamalika ntaleta mrejesho na maamuzi ntakayo chukua
Nafikir hujawah pitia hyo situation mzeeShe is not only in the sea
Nikweli hata ivo mkuu, hizi mambo nikwenda nazo kwa Akili.Nafikir hujawah pitia hyo situation mzee
My brother, so bado u were able to have sex with her after all that?! My question is how do you erect?! Mimi nsingeweza na ningemwambia ukwel. Anipe uongo wa kunidanganya had akil ieleweHuwa sio mchangiaji mzuri na huwa sipendi kuzungumza personal life mtandaoni, lkn inafika kipindi unaona kbsa umebeba mzigo mzito moyoni. The only solution nikuongea uwe free, uzuri wa jf hata nikiongea hatufahamian privacy hubaki pale pale.
Initialy nilijisikia inferior labd sina swaga or am not her type, but... but.. we have been together for four years tokea first year st augustine university mpk tunamaliza chuo na kupata kazi, niwe tu honest chuoni kulikuwa na midume akimla demu wako inabd uwe mpole lkn hakushoboka kbsa .Bosi wake (kampuni ya M.. ..com )alimtaka sana lkn nikawa naletewa shitaka tu, nikajiona nmefika kumbe anashitakiwa mmoja mwingine apendwae anakula.
Hata baada ya kujua mimba sio yangu kuna mtu anakula siku break up, i dearly wanted to know the guy aliefanikiwa kumvua pichu bae wangu akamchanganya mpk akamzalia mtoto wakati mm nilikuwa nimeshabembeleza for a whole year baada ya kumaliza chuo anizalie akagoma kabisaa. Nilichojifunza women are devils in human body, nilikuwa napikiwa, nafuliwa nafanyiwa kila kitu napewa penzi na vilio vya mahaba naambiwa nnavyomridhisha(niwe mkweli kuna siku kidogo nmtie mabanzi tukiwa kwenye sita kwa sita). Niliona ananisanifu na kunikejeli!! Sio kila aneua amedhamiria kuna wakati nilikuwa natamani niamke usiku nimchinje, u cant i magine after sex anachukua simu yuko bize anachati tena na tabasamu murua kabisa!!!
Wanawake mna mioyo ya aina gani? Wanaume tunachepuka lkn sio kishetani hivi, anyway the story is too long and am geting too emotional than logical . Naishi na huyu mwanmke mpk leo sio kwa sababu mm zezeta nooo, nataka nmjue anaependwa huyo ambae yuko tayari kumzalisha mke wa mtu na it seems kila nikisafiri jamaa anamla kama kawaida, huyu mwanmke ni mjanja hata nyoka aliemdanganya eve pale bustani ya Eden hamfikii. Mpk leo sijawasikia wakiongea wala kuchati but viashiria vy mke kuliwa viko wazi wazi ,nilimpandikiza mtu kazini kwao anipe taarifa zake cha ajabu naambiwa ni mtulivu tu kazini na akitoka anakuja nyumbn. Kwa kweli am stuck upelelezi wangu miezi 8 mpk mtoto anakaribia kujifungua umegonga mwamba, ana mprotect huyo mtu wake kufa kupona nisimjue ! Siku upelelezi ukikamalika ntaleta mrejesho na maamuzi ntakayo chukua
Ila next time mkuu tafadhali mkuu usije ukatumia lugha hii ya queen. Nimetumia nguvu kubwa saana kuelewa. Japo sijakuewela
Am fire proofed, hardly to be backfired with my statement!!
Uwiii teh teh . hebu nitafsirie kwanza ulikuwa unalalamika nini? Maana nasikia watu wanasema umeandika malalamiko.NaUnGa mKoNo hOjA.......
Maana hakuna kitu ngumu kama kupasua yai la mbuni....tehteehh
Hapa hadi jasho lantoka haki...
Leo nitakuwa nimeamkia ubavu wa kushoto. Napigwa huku na huku.
![]()
Ahaaa sasa hayo mashairi yanamaanisha nini. Kwa sisi ambao shule ilitushinda?Sijalalamika mkuu, nimeitumia sim janja yangu ili sote tujifunze comrade