"Nailed it" means you got something exactly right, or did something perfectly. You can think of someone trying to hammer a nail into a board. They hit the nail so perfectly that the nail goes straight into the board very well. If you scored 100% on an exam, you "nailed it".....tehteehh

Kweli nimeamini Ras Simba anaweza akanipea ujiko jf haki.....tehteehh![]()
![]()
Mwenyew sijui hata dear!!Ni nini hikii?
woyooooo"Nailed it" means you got something exactly right, or did something perfectly. You can think of someone trying to hammer a nail into a board. They hit the nail so perfectly that the nail goes straight into the board very well. If you scored 100% on an exam, you "nailed it".....tehteehh![]()
![]()
Ngoja nitafute gugo transileta . nitakupa linki
Huwa sio mchangiaji mzuri na huwa sipendi kuzungumza personal life mtandaoni, lkn inafika kipindi unaona kbsa umebeba mzigo mzito moyoni. The only solution nikuongea uwe free, uzuri wa jf hata nikiongea hatufahamian privacy hubaki pale pale.
Initialy nilijisikia inferior labd sina swaga or am not her type, but... but.. we have been together for four years tokea first year st augustine university mpk tunamaliza chuo na kupata kazi, niwe tu honest chuoni kulikuwa na midume akimla demu wako inabd uwe mpole lkn hakushoboka kbsa .Bosi wake (kampuni ya M.. ..com )alimtaka sana lkn nikawa naletewa shitaka tu, nikajiona nmefika kumbe anashitakiwa mmoja mwingine apendwae anakula.
Hata baada ya kujua mimba sio yangu kuna mtu anakula siku break up, i dearly wanted to know the guy aliefanikiwa kumvua pichu bae wangu akamchanganya mpk akamzalia mtoto wakati mm nilikuwa nimeshabembeleza for a whole year baada ya kumaliza chuo anizalie akagoma kabisaa. Nilichojifunza women are devils in human body, nilikuwa napikiwa, nafuliwa nafanyiwa kila kitu napewa penzi na vilio vya mahaba naambiwa nnavyomridhisha(niwe mkweli kuna siku kidogo nmtie mabanzi tukiwa kwenye sita kwa sita). Niliona ananisanifu na kunikejeli!! Sio kila aneua amedhamiria kuna wakati nilikuwa natamani niamke usiku nimchinje, u cant i magine after sex anachukua simu yuko bize anachati tena na tabasamu murua kabisa!!!
Wanawake mna mioyo ya aina gani? Wanaume tunachepuka lkn sio kishetani hivi, anyway the story is too long and am geting too emotional than logical . Naishi na huyu mwanmke mpk leo sio kwa sababu mm zezeta nooo, nataka nmjue anaependwa huyo ambae yuko tayari kumzalisha mke wa mtu na it seems kila nikisafiri jamaa anamla kama kawaida, huyu mwanmke ni mjanja hata nyoka aliemdanganya eve pale bustani ya Eden hamfikii. Mpk leo sijawasikia wakiongea wala kuchati but viashiria vy mke kuliwa viko wazi wazi ,nilimpandikiza mtu kazini kwao anipe taarifa zake cha ajabu naambiwa ni mtulivu tu kazini na akitoka anakuja nyumbn. Kwa kweli am stuck upelelezi wangu miezi 8 mpk mtoto anakaribia kujifungua umegonga mwamba, ana mprotect huyo mtu wake kufa kupona nisimjue ! Siku upelelezi ukikamalika ntaleta mrejesho na maamuzi ntakayo chukua
bas nitumie andiko lilipoHii sio nyimbo zaidi ya andiko..![]()
![]()
bado hujapataga nataka nijifunze kituHuwa sio mchangiaji mzuri na huwa sipendi kuzungumza personal life mtandaoni, lkn inafika kipindi unaona kbsa umebeba mzigo mzito moyoni. The only solution nikuongea uwe free, uzuri wa jf hata nikiongea hatufahamian privacy hubaki pale pale.