You're not in love with me

You're not in love with me

Bado tuu hujamsahau...... humtendei haki mamsepu J.
Ghafla umenikunbusha historia yetu, hasa ya kwenye kitabu kitakatifu....[emoji4] [emoji4] [emoji4]
 
Aiseee.

Najaribu ku figure out jinsi inavyouma. Pole saana.

Maisha lazima yaendeleee.
Nikweli mkuu, haya maumivu sinto yaruhusu sapelekee maisha yasimame haki...
 
Ghafla umenikunbusha historia yetu, hasa ya kwenye kitabu kitakatifu....[emoji4] [emoji4] [emoji4]

Wasalimie Ushirombo na Kibaha, natumai kote huko hawajambo.

Nimewakumbuka mapacha, natumai sasa wamekua wakubwa.
 
Naona ushauri wangu umeanza kunirudia mimi .
[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
It's what we called "back fired statement"
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Wasalimie Ushirombo na Kibaha, natumai kote huko hawajambo.

Nimewakumbuka mapacha, natumai sasa wamekua wakubwa.
Nitawasalimia sana mkuu, na mapacha pia wataitika ingawa wapo shuleni sasa.
Nashkuru Mungu wamekua wakubwa sasa, na wanaendelea poa sana......
Salam kwa wenzao pia chief
 
Back
Top Bottom