Your thoughts on kuanzisha an ecommerce website like amazon in Tanzania ?

Keyboard Warrior

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2014
Posts
985
Reaction score
2,885
Habari zenu wakuu.

So for the past few weeks nimekuwa nikifikiria kuhusu kuanzisha an ecommerce store like amazon catering to the Tanzanian market. Kama wengi tunavyofahamu Amazon.com: Online Shopping for Electronics, Apparel, Computers, Books, DVDs & more ni one of the world's largest online store,which means both big brands and individuals sell their products through them. Therefore kustart such a thing in Tanzania nimeona kunabenefit, since itakuwa convenient kwa consumers na pia watapata a large selection of different products at an affordable price na watu wengi watapata access to goods ambazo before either ilibidi waagize kutoka nje au waende mikoa mingine e.g electronics, books n.k.

Kuhusu software itakayopower the website kulikuwa na option nyingi ila nimedecide to go with Ecommerce Software & Ecommerce Platform Solutions | Magento since ni the most powerful,highly customizable na ina features nyingi. Na ili kuwa na large variety of goods nitajaribu kuconvince both big stores in Tz kama, Game, Home shopping centre etc na small stores kusell their products through the website since watapata access to more customers so ni a win- win situation.

Na kuhusu jinsi consumers watakavyolipia for goods ni either through paypal, credit card, bank deposit au mobile money eg. mpesa,tigo pesa, airtel money n.k.

Kwa africa project kama hii iliyofanywa with good execution ni by Online Shopping | Buy Phones, Computers, Fashion | Konga Nigeria na Online Shopping | Electronics, Books, Fashion & More | Jumia Nigeria both of which are owned by nigerian companies and operate in nigeria. In Tanzania ipo such a site ila its relatively new, Online shopping Tanzania | Buy & Sell online on Kaymu | #1 Marketplace.

I understand this is an ambitious project, so kwa sasa bado nipo kwenye research phase.

So what are your opinions kwa hili swala, is such a project feasible in Tanzania na je kuna enough demand for such a site?
 
GOOD, ni wakati wa vijana wasomi wa kitanzania kuanza kutumia elimu zao kuwaza na kuleta changamoto za kimaendeleo katika jamii badala ya kujichanganya kwenye siasa zisizo na mchango wowote wa kimaendeleo katika jamii, mleta uzi huu unaweza kukatiswa tamaa na wengi lakini kaa ukijua kuwa wazo lako ni kubwa kuliko vichwa vya wengi humu

Kuhusu Shwali lako kweli demand ipo tena kubwa sana, lakini watu tutataka kujua namna bora wa kupata mzigo ulionunua, je utapata kitu halisi au utaonyesha bidhaa kwenye hali nzuri kisha on delivery unapata bidhaa tofauti kabisa? muda wa bidhaa kumfikia mteja? na mengine mengi.
 
Nadhani logistics itasumbua kidogo kwa bongo.Mnunuzi itamlazimu kufuata vitu postal office, maana ni nyumba chache zenye address , pia national id ni issue nyingine.
Anyway unaweza target segment fulani ktk hili kwa kuanza .
Ila nimesikia kuna watu wanafanya hili...
Kama una hitaji partner holla on me.
 
Thanks for your reply.

Nataka hii site iwe reputable so hakutakuwa na mambo hayo ya mtu unaagiza hiki unaletewa kingine ambacho hakifanani kabisa na ulicho taka.So ili hii site iaminike na watanzania na pia east africa kutakuwa na refund policy on some products and also sellers watakaotaka kuuza their goods kupitia our website itabidi wawe screened na wafikishe certain requirments. Am sure nikifanya vyote hivi confidence itaongezeka kwa consumers kutumia our site.

Kuhusu delivery kwa watu kama wa dar unapata your product on the same day ama kesho yake, obviously itategemea na muda ulioagiza. Na kwa watu wa mikoani watapata their goods in 2- 3 days.
 
Nadhani logistics itasumbua kidogo kwa bongo.Mnunuzi itamlazimu kufuata vitu postal office, maana ni nyumba chache zenye address , pia national id ni issue nyingine.
Anyway unaweza target segment fulani ktk hili kwa kuanza .
Ila nimesikia kuna watu wanafanya hili...
Kama una hitaji partner holla on me.

Kuhusu logistics naweza nikaweka option ya mtu kureceive your goods kupitia mabasi haya ya kusafiria,am sure hiyo itakuwa the most popular and convinient kwa watu wengi.
Yeah i agree with you kwa kuanzia itabidi nianze na a small segment halafu na add different things as i expand.

Unaweza ukanipa the site link ya hao watu wanaofanya such a thing ili nijifunze what they did right.
 
kaka nikukumbushe tu kitu kimoja amazon ni kampuni then ndio wana website na sio website tu kama ambayo umejieleza hapo juu.

hapa namaanisha hivi, utatakiwa uwe na store za kuhifadhia vitu, vijana wa kuwapelekea watu bidhaa majumbani, uwezo wa kupata latest products kutoka makampuni yenyewe kama samsung na lg na vitu kama hivi.

kama unataka website ya udalali kama ebay kwamba mtu anauza kitu anacho nyumbani kwake then anakipost kwenye site yako halafu mnunuaji anawasiliana na muuzaji bila hata wewe mwenye website kujua sikushauri kufanya unless uwe na unique idea.

zimejaa kibao site kama hizo hapa tz kuanzia zoom tz, inauzwa nk.

kwa ushauri site kama amazon kwamba unauza bidhaa online na kumpelekea mtu mahali alipo hio ndio tanzania tunayohitaji. anza na mahali padogo tu ili uweze kupa control then uta expand
 
Sorry kama sikueleweka, i meant Amazon as a company. Siko interested kuanzisha another zoom tz.

Ila I agree with you the best course of action ni kuanza small.
 
Vijana wenzangu hili ni wazo zuri tena kwa graduate na tulio vyuoni mnaweza kujoin mkawa hadi na branch ili kuwa more effective
 
Sorry Kama sikueleweka, ila yeah I meant Amazon as a company.
Electronics Accessories ziko on demand na easy to transport. Na kizuri ukiweka ba mfumo wa kulipia kwa mobile money itasaidia sana. Ni kundi dogo sana lenye ufahamu wa e market mambo ya PayPal visa card master card kwa watanzania wengi hii ni misamiati migumu kwao kuliko mpesa Airtel money na tigo pesa.
 
Vijana wenzangu hili ni wazo zuri tena kwa graduate na tulio vyuoni mnaweza kujoin mkawa hadi na branch ili kuwa more effective

Yap, good point.Hii itaongeza effieciency,pia itasaidia mambo ya logistics.Product itamfikia mteja haraka na pia itakuwa rahisi kwa some customer kuchukua product the at our branch kuliko kuhangaishana kwenye mabasi au njia ya posta.

So thank you for pointing that out.
 
Electronics Accessories ziko on demand na easy to transport. Na kizuri ukiweka ba mfumo wa kulipia kwa mobile money itasaidia sana. Ni kundi dogo sana lenye ufahamu wa e market mambo ya PayPal visa card master card kwa watanzania wengi hii ni misamiati migumu kwao kuliko mpesa Airtel money na tigo pesa.

If this project pans out, i think ntaanza na mambo ya electronics kwanza halafu ntaexpand from there.

Yeah nimerealize kwa alot of tanzanians itakuwa easier kulipia for goods kupitia mobile money kuliko haya mambo ya paypal na visa card etc. ingawa hizo option zitakuwepo pia kwa watu ambao wako more tech savvy.
 
Keyboard Warrior ni wazo zuri ila site kama hiyo inahitaj ucode from scratch ili uwe na uhuru na security policies maswala ya kutumia templates za watu na ni site ambayo inafanya money transaction unaweza pigwa hack moja ukakaa miaka hamsini.... Na kuhusu site hizo Tanzania tayari ipo na naona jamaa wanakuja kwa kasi angalia www.kinukazi.com
 
Last edited by a moderator:

Itakayokuja kujipatia umaarufu ni Online shopping Tanzania | Buy & Sell online on Kaymu | #1 Marketplace

Inakua sponsored na Tigo
 
hamna kitu hapo kaka, hilo ni duka lina website, kuingia tu nakutana na earphone original za apple 12,000 shilingi za kitanzania.

tunachotaka sisi ni kampuni kama amazon yani itakuwa hivi.

samsung, lg, singsung, wenyewe wanauza bidhaa kupitia hio kampuni unapata vifaa original na warranty. kitu kikiwa kibovu unarudishiwa hela,

masuala ya kuletewe vitu vya kichina tunaambiwa vya apple hatuyataki
 
Kaka hilo ni wazo zuri kwa TZ, kwa ujumla hawa Kaymu ni wababaishaji tu. Mm nimejaribu kufanya order ya baadhi ya bidhaa zao na hata wao kuhakiki kwa kukupigia simu kujiridhisha. Cha ajabu wanakuambia ngoja waulize kwa seller na hapo ndio inakuwa mwisho hakuna hata feedback ama bidhaa ipo au la. Na wakati mwingine unakuta product ipo kwenye website lakini seller ile product either kamaliza or price higher than the listed. Hivyo changamoto kama hizi zikizingatiwa inaturahisishia sana maana kitu kidogo hadi usafiri mkoa ndipo upate.
 
Mkuu siku hizi Kaymu wamejirekebisha, feedback wanawahi kutoa na wanafanya mawasiliano na mteja kila hatua.

Changamoto iliyopo sasa hivi ni baadhi ya bidhaa kumalizika au mabadiliko ya bei kama ulivyosema. Mtoa mada nadhani ataliangalia hili akiwa anapanga mradi wake

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom