Kuna mdada nampenda humu Jf jamani, yaani kadri siku zinavyoenda anazidi kunifanya niishi kama vile nimeazimwa kichwa!
Jana jioni nimekaa nikasema ngoja nimwandikie PM, nifunguke kabisa moja kwa moja bila kusita.
Nimeandika PM yangu, lakini cha ajabu kila nilipojaribu kuituma nikawa napata huu ujumbe "Your Private Message Was not Delivered to ...... ". Niliona sio hali ya kawaida ikabidi tu nisitishe zoezi, sijui ni tatizo gani.
Ingawa sijampata, lakini naamini siku nikimpata atanipandisha mpaka niweze kusimama juu ya mlima! Lakini acha tu nimdedicatie huu wimbo:
Westlife - You Raise Me Up (With Lyrics) - YouTube
Jamani nauliza, kuna watu humu wana nini maana mtu sijawahi kumwona lakini cha ajabu ananichanganya????