"your money won't buy my love" sikuamini

"your money won't buy my love" sikuamini

Mh yeah its true......money cant buy love at alllllllllllllllllllllll
 
Na mimi huwa namdharau sana mwanaume anaetumia nguvu ya pesa kupata wanawake. Unajisikiaje kununua mapenzi?
 
I like this thread!

Wanawake wanapenda kutimiziwa mahitaji yao tu sio pesa. Ndio maana ukiwa kijijini una mashamba mengi ma mifugo kuna uhakika wa msosi waweza oa hata 20. Mzee si unambembeleza kidogodogo bwana eeh wanataka bembelezwa hao hao hata ukimpa pesa umpe kama utoavyo pipi kwa mtoto mdogo.
 
wakuu ktk maisha yangu mimi kama dume sijawai kuamini kwamba kuna wanawake hawapendi mapenzi ya pesa,
kuna dada mmoja hv nilimvuta kwa pesa nikawa namnunulia vitu vingi ananiomba msaada nampa na tukawa tumezoeana sana sasa leo nikaamua nimtolee uvivu kuhusu hisia zangu kwake lakini jibu nililoambulia ndo hilo pesa yangu haiwezi nunua penzi lake ktk maisha yangu yote yakuvutia wasichana kwa pesa lakini leo nimeamini pesa haiwezi nunua penzi loh

Naomba univutie na mie....
 
huwezi kumtongoza mwanamke yeyote mwenye akili kwa pesa, just show her she z so unique and you love her so much...kama ni type yake then atakukubali! Na pesa unayoongelea siyo 20,000/= au 50,000/= fanya kitu kinachogusa hisia zake moja kwa moja!


Mfano?!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom