beibe nasty
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 1,640
- 523
Dada yako nipo hapa.
beibe nasty,nyimbo zangu ziko kule juu mdogo wagu.
Ila kuna nyimbo tunataka kufanya Corabo na snowhite featuring D'banj.
Dada na mimi jamamiii
all gospel songs, love songs sizipendi cos nachukia malovee yananitesa mno!
Ndo mana yake.
Ila itabidi tumtafute Mdhamini mwenye pesa zake.
Mtambuzi ile ndoa hakufunga tena, Nasikia yule hakuwa mjane,aliamua kudanganya ili ampate mtu wa kuwalelea Mapacha wake.
Hapa Ndo Mjini bhana,ulipoingilia sipo utakapotokea
Dada yako nipo hapa.
beibe nasty,nyimbo zangu ziko kule juu mdogo wagu.
Ila kuna nyimbo tunataka kufanya Corabo na snowhite featuring D'banj.
Hakika wewe umenena vyema...
Sijui ameimba Nani ....unaimbaa ivii...
"Wema Wa Mungu umenizungukaa...x4
Zungukaaa Zunguka Zungukaa......X4
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Hapo kwenye RED huo wimbo kaimba nani?
Nimeupenda kweli lazima nitafute album ya huo wimbo.....LOL
na video itafanyika visiwa vya Barbados,nani anataka kuwa mbunifu wetu wa mavazi?
Una hela wewe?
Tupe Acc no yako tukacheki Mpunga uliokuwa nao benki.
ameen! btw how r u doing daddy?
Dada na mimi jamamiii
atusogelee sasa!Tumeimba Mimi, beibe nasty na snowhite tukimshirikisha Vin Diesel na St. Paka Mweusi featuring Anorld Schwazniger