Ndo kina nani hao
Hii point inawagusa pia baadhi ya wasanii wakubwa, wafanyie kazi.
Lunya angekuwa anaandikiwa mashairi mazuri angekuwa mbali zaidi kwasababu anajua kunata na beat.
Wasanii wa Hip Hop wapo wanaoandikwa mashairi.Kwenye hiphop hawaandikiwagi mashairi.
WawapiBaba zako
una chuki tu be flex ... killer ni monster lyricalLunya yupo vizuri, young killer ni mjinga mmoja hivi
umenikumbusha mbali sana mzazi hebu nitajie jina la hii ngoma ahahahhhhhhhhh.......Jivike vyeo Ili wenye vyeo wakuone bwege.....nayokupa Leo sio kimeo kama rasta za chenge.....demu kusini mlaze mawio mchanue matege....ni YOUNG KILLER mjenzi nisiyo ilaza zege haaahaaa![emoji119]
Hii diss track iko chini ya kiwango japo mi team killer lakini hajanikosha karudia mashairi yaani ni kama alikurupuka au sikuhizi ameshindwa kufikiri.... kuna ngoma mtu anakudiss hadi kupita mtaani unaona aibu... [emoji1787]Zimepita siku 5 baada ya Young Lunya kuachia ngoma yake mpya ya freestyle session 5, wimbo huo kwa asilimia kubwa amemdiss Rapa Young Killer. Young Killer nae baada ya kupita siku 3 akajibu mapigo kwenye diss track aliyo ipa jina la freestyle session 6.
Killer kwenye diss track kamchana ile mbaya Lunya, nimeona jana wasafi wanamuuliza kama atajibu mapigo lakini kagoma. Kumdiss Killer kwenye track ni kujitafutia matatizo tu.
Sikiliza hapa hilo dude
MeX Cortez ameshakichafua huko anakwambia[emoji238] is a great of all time
Nmeisikiza Bar bender 7 naona Kanjibahi Mex kaenda resi sana
Kanjibahi anaflow tamu sana hat kuandika Yuko poa
sema ndio hvyo jamaa anapenda kuwanyea sana wenzie yeye anakwambia ndio Ile ndio uraha yake😁😁😁😁
Hii diss track iko chini ya kiwango japo mi team killer lakini hajanikosha karudia mashairi yaani ni kama alikurupuka au sikuhizi ameshindwa kufikiri.... kuna ngoma mtu anakudiss hadi kupita mtaani unaona aibu... [emoji1787]
moja ya disstrack kali hapa bongo ni USIULIZE ya Rado kwa Fid Q, pia NEEMA WA MITEGO ya Nikki Mbishi kwa Ney na kubwa kuliko zote ni FUTI SITA ya p the mc kwa Nikki mbishi duh... P the mc ndo baba wa disstrack hapa Bongo