Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 48,329
- 115,336
Uende Uwanjani sasa ili ukazimie vizuri.hahaha jumamosi atalia na kusaga meno huyo kocha.
Pia nikwambie goli tano si lele mama ati.
Uende Uwanjani sasa ili ukazimie vizuri.hahaha jumamosi atalia na kusaga meno huyo kocha.
malizia kwa kishindo.Kila la kheri Mtani.
Mana leo naona Msemaji kawaweka sawa eti munashinda.
Dooh!malizia kwa kishindo.
SIMBA NGUVU MOJA
Sawa ila mi naamini hii mechi Yanga itashinda ushindi mnono usiopungua goli 5.Haya ni ya kwako Mtani.
Kama umeota. 😅Sawa ila mi naamini hii mechi Yanga itashinda ushindi mnono usiopungua goli 5.
#DAIMAMBELENYUMAMWIKO
Ni kweli Shadeeya chochote kinaweza kutokea ni swala la kusubiri na kuona.Uende Uwanjani sasa ili ukazimie vizuri.
Pia nikwambie goli tano si lele mama ati.
Hakika Mtani.Ni kweli Shadeeya chochote kinaweza kutokea ni swala la kusubiri na kuona.
Nipo tayari kwa matokeo yoyote
La 2 bado 3. 😅😅😅Sawa ila mi naamini hii mechi Yanga itashinda ushindi mnono usiopungua goli 5.
#DAIMAMBELENYUMAMWIKO
Shadeeya hivi kanuni inasemaje mpaka muda huu bado ni 0-0?Dkk ya 25 JKT Tanzania 0 - YANGA 0
View attachment 1790885
Tuna mawili huko. 😅😅Shadeeya hivi kanuni inasemaje mpaka muda huu bado ni 0-0?
Hahahaaa. LolKumbe mnajificha huku
naruhusiwa kubadilisha utabiri?Kama umeota. 😅
Tayari 1 bado 4
Sijaelewa Mtani?Saido out
Kama una + sawa sio - 😂😂😂naruhusiwa kubadilisha utabiri?
Nilijua hatoendelea na gameSijaelewa Mtani?