Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Mpira wa Tanzania umejaa upumbavu mwingi, unawezaje kumpanga refa na linesman ambao hawajuhi sheria ya offside? Huu upumbavu unaanzia TFF down mpaka chini, wote mavi tu vichwani. Ukifuatilia mipira ya hawa wapumbavu unaweza jikuta umekuwa equally jinga kama wao
 
Ni vyema wasiwe wanafanya maamuzi haraka.
Kama leo refa wa kati ndio alikuwa karibu zaidi na mpira na akapuliza kipenga kuwa mpira uende kati.
Baadae anaambiwa sio goli means hata yeye mwenyewe hajui anachoamua ni nini yani!!
 
Exactly, alitakiwa aende kumuuliza linesman, ameona nini?
 
Pamoja na haya makosa ya refa alioyaonyesha leo kwenye mechi yetu lakini tuuseme tu ukweli timu yetu ya yanga bado ni dhaifu sana sana bado hatujawa na timu ya ushindani wa hatuna kikosi cha kushiriki mashindano makubwa kwa sasa mimi nashauri tu tuondoe mawazo ya ubingwa kichwani na kikubwa kocha aendelew kuboresha kikosi chetu kwa ajili ya msimu ujao msimu huu tayari tumeshapoteza
 
Back
Top Bottom