Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 48,328
- 115,336
😂😂 Ila nyie. LolNilijua hatoendelea na game
😂😂 Ila nyie. LolNilijua hatoendelea na game
mdomo koma.Tuna mawili huko. 😅😅
Naomba ukome yakishatimia yale magoli uliyoyatabiri. 😀😀mdomo koma.
Hii style inaitwaje mtani
Nataka tu kugawanya hayo magoli kila timu ipate.Kama una + sawa sio - 😂😂😂
Uwiii! Hili ndo swali gumu unawahi niuliza Mtani.Hii style inaitwaje mtani
tafsiri ya hii picha ni 'baada ya dhiki faraja`
Sawa mtani nisikuchosheUwiii! Hili ndo swali gumu unawahi niuliza Mtani.
Nadhani tuwaachie wachezaji hilo jibu au unasemaje?
Hahahaaa. Hebu toka hapa na wewee.Nataka tu kugawanya hayo magoli kila timu ipate.
hahaha ngoja tuone.Naomba ukome yakishatimia yale magoli uliyoyatabiri. 😀😀
Kufunga au kufungwa?Nne tu zinatutosha kwa leo!
Siku zote tungecheza hivi saa hii tungekuwa mbali.Nne tu zinatutosha kwa leo!
Kama kwa madiba au unasemaje?Kufunga au kufungwa?
sawa kama hutaki mi sina neno.Hahahaaa. Hebu toka hapa na wewee.
Kuyagawa hiyo veeepeee.
😀😀😀 wajuta.sawa kama hutaki mi sina neno.
HamzipatiKama kwa madiba au unasemaje?
Nasikitika leo kukosa kuona mambo mazuri yanayoendelea huko aisee!Siku zote tungecheza hivi saa hii tungekuwa mbali.
Mtoto halali na hela dodoma huko.Hamzipati