Nashukuru Shemela. 🙏🙏🙏Shemela nimekupenda bure.
Sana tu shemela.Nashukuru Shemela. 🙏🙏🙏
KITUO KINACHOFUATA NI KWA WALE KAMWENE SHEM.
Na safari hii hatuwawachi. Kipigo kwao ni lazima.Sana tu shemela.
Hii hapa safu kamili ya uongozi Yanga.Hakuna updates yoyote ya uchaguzi wetu wa leo mbona?
Asante sana mkuu kwa taarifa hii.Hii hapa safu kamili ya uongozi Yanga.
Mwenyekiti
Dk Mshindo Msolla
Makamu Mwenyekiti
Fredrick Mwakalebela
Wajumbe Kamati ya Utendaji
1. Hamad Islam
2. Bahati Mwaseba
3. Dominick Francis
4. Frank Kamugisha
5. Arafat Haji
6. Saad Khimjy
7. Rodgers Gumbo
8. Salim Rupia
Hahahahahahahahah masikini wehKILA LA KHERI TIMU YA WANANCHI HAPO 15:30HRS DHIDI YA LIPULI.
"DAIMA MBELE NYUMA MWIKO"
safari ya chizi huwa ni ndefu lkn akirudi hurudi na makopoKILA LA KHERI TIMU YA WANANCHI HAPO 15:30HRS DHIDI YA LIPULI.
"DAIMA MBELE NYUMA MWIKO"
Tupo pamojaaa!Kamweneeee mbona kimya humuu.....
Hahahaaa. Naona ulinifuata hadi huku Mtani.Hahahahahahahahah masikini weh
Kamweneeee mbona kimya humuu.....
KILA LA KHERI TIMU YA WANANCHI DHIDI YA BIASHARA UNITED
"DAIMA MBELE NYUMA MWIKO"