Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Shadeeya

Shadeeya

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2014
Messages
29,723
Points
2,000
Shadeeya

Shadeeya

JF-Expert Member
Joined Mar 12, 2014
29,723 2,000
Kamati ya Utendaji kwa kutumia mamlaka iliyopewa na Ibara ya 28 (1) (d) ya Katiba ya Yanga ya mwaka 2010, imefanya uteuzi wa wanachama wafuatao kuwa wajumbe wa Kamati ya Utendaji ya Yanga.

1. Dkt Athumani Kihamia - Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC)

2. CPA Shija Richard Shija - Meneja wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA). Uteuzi huo unaanza mara moja.

Katiba hiyo imetoa mamlaka kwa Kamati ya Utendaji ya Yanga kufanya uteuzi wa wajumbe watatu wa Kamati ya Utendaji.

Uteuzi wa mjumbe mmoja aliyesalia utafanyika baadaye.
 
S

Sesten Zakazaka

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2017
Messages
6,299
Points
2,000
S

Sesten Zakazaka

JF-Expert Member
Joined Sep 10, 2017
6,299 2,000

Upo vizuri sana Shadeeya kwenye vipengele vya katiba, pamoja na kwamba Yanga na mimi mbalimbali ila hapo nimekukubali
 
Shadeeya

Shadeeya

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2014
Messages
29,723
Points
2,000
Shadeeya

Shadeeya

JF-Expert Member
Joined Mar 12, 2014
29,723 2,000
Upo vizuri sana Shadeeya kwenye vipengele vya katiba, pamoja na kwamba Yanga na mimi mbalimbali ila hapo nimekukubali
Uwiiii! Sio siri Ses umefanya nimecheka asubuhi asubuhi. lol

Nimeikuta sehemu hii nikaamua nishare na wapenzi wenzangu wa Timu ya Wananchi na huko ndio nmekuta wameweka na hicho kifungu. ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 
S

Sesten Zakazaka

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2017
Messages
6,299
Points
2,000
S

Sesten Zakazaka

JF-Expert Member
Joined Sep 10, 2017
6,299 2,000
Uwiiii! Sio siri Ses umefanya nimecheka asubuhi asubuhi. lol

Nimeikuta sehemu hii nikaamua nishare na wapenzi wenzangu wa Timu ya Wananchi na huko ndio nmekuta wameweka na hicho kifungu. ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
Hahahaha sawa Mama Yanga, ila uhakikishe pia unatumia hivo vipengele vya katiba kuwabana kina Mzee Akilimali na wenzie watapoanza kuwawashia moto viongozi wapya pale mtakapokua mnapokea kichapo kutoka Msimbazi:D
 
Shadeeya

Shadeeya

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2014
Messages
29,723
Points
2,000
Shadeeya

Shadeeya

JF-Expert Member
Joined Mar 12, 2014
29,723 2,000
Hahahaha sawa Mama Yanga, ila uhakikishe pia unatumia hivo vipengele vya katiba kuwabana kina Mzee Akilimali na wenzie watapoanza kuwawashia moto viongozi wapya pale mtakapokua mnapokea kichapo kutoka Msimbazi:D
Hahaaaa. Sawa.
 
Shadeeya

Shadeeya

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2014
Messages
29,723
Points
2,000
Shadeeya

Shadeeya

JF-Expert Member
Joined Mar 12, 2014
29,723 2,000
Mambo gani hayo

Mwezi mtukufu huu tushirikiane kama kuna michango tutoe
Mtani post no #3,562 kuna habari ya uteuzi wa Wajumbe wa Kamati ya Utendaji kwenye timu ya wananchi hivyo nikasema mkae chonjo kwani mambo mazuri yanakuja Mtani.
 
Forum statistics

Threads 1,295,406
Members 498,303
Posts 31,210,959
Top