Wenzako wanapokezana mke, nyie mnabaki kushangilia mpokenzako....!****** wa kimataifa!!!! Kapigwa kapigwa tena, hahahaha.
Usipanick sana, usidhani kwamba Yanga imepoteza kitu kikubwa sana.Vipi laza ya Icecream ikoje nyie vyura wa jangwani?
msingepeleka timu uwanjani basi kama haina thamaniUsipanick sana, usidhani kwamba Yanga imepoteza kitu kikubwa sana.
Kwetu Ubingwa ndio kitu chenye thamani kuliko michuano yeyote ile hapa Afrika Mashariki.....
Hivi simba hawakuwa na nafasi ya kucheza mechi ya ngao!?msingepeleka timu uwanjani basi kama haina thamani
Mikia imekamatwa tena?Vip nangwanda wadau mana mikia sare nje nje
Dk 40 1_1Mikia imekamatwa tena?