Bazenga01
JF-Expert Member
- Mar 1, 2012
- 1,202
- 2,250
Nafikiri naikumbuka hii kwaya..Eee bwana eeeh!
Hivi kuna kwaya moja hivi inaitwa Shangilieni ya Arusha unaifahamu ???
Nafikiri naikumbuka hii kwaya..Eee bwana eeeh!
Hivi kuna kwaya moja hivi inaitwa Shangilieni ya Arusha unaifahamu ???
Tumaini Kwaya, Arusha.. Daah kitambo kweli kweli [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji119]Eee bwana eeeh!
Hivi kuna kwaya moja hivi inaitwa Shangilieni ya Arusha unaifahamu ???
Thank you
Kaka Safi bwana Jana nilikuwa na usingiz mkuuKaka habari za masiku!
Kaka Safi bwana Jana nilikuwa na usingiz mkuu
Safi sana mkuu naona ndugu yako putin kaa giza maspy wauawe nje ya nchi yakeNilihisi tu mkuu!
Mzee huyu yupo bado njema sana FB huwa namfatilia ana vitu vikali bado,akitupia na za zamani inafunika zaidi,huyu ndo wa kwanza kunifanya nizipende Nyimbo za gospel za mamtoni.Don Moen- Give thanks
Weee Asante sana umenikumbusha mbali enzi hizo niko Sumbawanga baba ndo alikuwa ametoka Dar akaja na hii kanda weee mtaani walitukoma na mkulima wetu hahaha!!Brenda Fassie- Soon and Very Soon
My fav ila napenda zaid akiuimba yule dogo anaitwa Steven Dessay
Huu huwa unanipeleka patakatifu pa patakatifu!!Angela Chibalonza- Kaa nami
Naupenda sana huu wimbo!
Uhhhhh!! Unchangeable God,reliable God...... naupenda mpka naumwa,it's my ringtone
Hahaha jisong la ujana wangu lilinisaidia sana kuepuka vishawishi pale nilipokuwa najihisi mpweke,kamwili kanawaka tamaa looh nilikuwa najizamisha kwa mpenzi Yesu na lisong hili nikimaliza hapo akaaa!! Tushida twangu tote tumeisha[emoji2] [emoji2]
Jisong langu la kunipa matumaini nikijiona nimefall
My fav.Joyous Celebration hawa..kumbe wamefikisha album 22 so far
Duhhh!! Umenimaliza... nalipenda mpka basi dogo yule Steven naye ameliimba poa sana basi nikilisikia na sauti yake tamu ya kitoto uwiii moyo nahisi unapasuka kwa furaha