MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,772
- 71,857
- Thread starter
- #141
Me too my favMy fav
Just did.. JC nao wako vizuri sana.
And I suggest you listen to this energetic Jamaican woman. Anaitwa Marion Hall, hapo kabla ya kuokoka alikuwa akiimba na kucheza zile hardcore sexually dancehall alitawazwa jina la Queen of Dancehall. Now she is saved, worshipping and glorifying God. One of my Fav for sure.Just did.. JC nao wako vizuri sana.
Typing JC nimewakumbuka wasouth, Joyous Celebration wana series of albums, I think the current one is JC19.
Sitakuwa nimeitendea khaki nafsi yangu bila kuwashirikisha hii kwaya ya Mapigano Ulyankulu, ni ya muda mrefu kidogo ila you can feel the presence hearing them singing. Sijui wako wapi siku hizi.
Safari yao WanaIsraeli
Halafu kuna mwingine unaitwa Mwenye Mamlaka, aiseee!
Mwenye Mamlaka.. Hii ni kwaya ya Goma, DRC wamefanya cover juzi juzi tu..Man, Man, Man, Maaaaaan!
Daaah hii nakumbuka nimeisikiliza sana miaka ya tisini.
Hahahaha halafu kuna ule wa Goliath.....
Mwenye Mamlaka.. Hii ni kwaya ya Goma, DRC wamefanya cover juzi juzi tu..
Joyous Celebration hawa..kumbe wamefikisha album 22 so farJust did.. JC nao wako vizuri sana.
Typing JC nimewakumbuka wasouth, Joyous Celebration wana series of albums, I think the current one is JC19.