You waited: Travis Greene (my weekend gospel vibe)

You waited: Travis Greene (my weekend gospel vibe)

Likewise mkuu plus Hillsong United hawa jamaa wananikosha mno. HU kuna mdada Taya Smith aisee, she's a Heaven sent[emoji56] [emoji56] [emoji56]

Aiseee Taya ni habari nyingine kabisaaaa!
Aliimba ule wimbo wa Oceans kwenye Concert Israel hadi nkaogopa!

Hillsong United- Oceans
 
Attachments

Aiseee Taya ni habari nyingine kabisaaaa!
Aliimba ule wimbo wa Oceans kwenye Concert Israel hadi nkaogopa!

Hillsong United- Oceans
Kwa kweli Taya ni habari nyingine, yuko simple sana ndio nachompendea halafu she's getting married soon kama sio tayari amesha tie a knot.
 
So will I nafikiri upo kwenye iliyopita. Album mpya kuna 'Who you say I am' ngoja nijaribu kuuweka au ukiupata uuweke hapa..

Mkuu hii ni Album ya Hillsong Worship siyo Hillsong United.
Hizi ni band mbili tofauti lakini zinatoka kanisa moja.
 
Back
Top Bottom