Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,772
- 35,770
It is well- Kristene DiMarco
Jaman audio ya huu wimbo, iwe converted au original itapendeza zaidi!!
Cc Samaritan na malcom
It is well- Kristene DiMarco
Amen
Usijali mkuu ntajitahidi leo.....Bado nasubiri ombi langu la audio ndugu
Ni karibiaaa zote hapa
Nshaanza kuweka mkuu!Bado nasubiri ombi langu la audio ndugu
Be blessedHuu utakua mtihani ila itabidi tusaidiane tu, ntakuelekeza namna ya kuzibadili inabidi kwanza uzidownload ziwe kwenye kifaa chako iwe ni simu au computer kisha uzibadili.
kwa sasa pokea hizo kwanza rafiki
Be blessed
Jota ameingia balehe sauti yake haipo kama zamani,
Inabidi afanya mazoezi sana sanaaa!
I can feel His presence.