MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,775
- 71,888
- Thread starter
- #441
Hillsong - Greater than all
Daaah, pole sana mazee!Thanks bru.
Japo huu wimbo huwa unanitonesha sana.
Nakumbuka niliupiga sana nikiwa katika majonzi mazito....overnight nilikuwa nina drive huku nikilitangulia gari lililobeba mwili wa babangu daah....acha kabisa😭
Nimepona mkuu asanteDaaah, pole sana mazee!