MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,753
- 71,660
Mkuu nimeipenda ebu weka na nyingine nyingine za goapel lakin
Mkuu nimeipenda ebu weka na nyingine nyingine za goapel lakin
Kaka habari za masiku!Safi sana mkuu Wacha tupoze machungu ya kutukanwa na Kuna nchemba
Aaaaaaaawwww be blessed dearMkuu pamoja sana,
Huu uzi ntakuwa natupia vitu za Gospel tu!
Aaaaaaaawwww be blessed dear
Kuna wimbo unasema i acknowldge you for who ur baadhi ya maneno ya lyrics zake kwenye chorus unaujuaa mkuu?
Yes if im not mistakenAmeimba Mnigeria ???
Ntafanya kesho, usijali kabisa mkuu!Hivi huwez kuweka kwenye mfumo wa audio/mp3 ??