Huu nao unanifanyaga nijimwaye mawinguni
Weee Asante sana umenikumbusha mbali enzi hizo niko Sumbawanga baba ndo alikuwa ametoka Dar akaja na hii kanda weee mtaani walitukoma na mkulima wetu hahaha!!
Yaani huu nisingeukuta hapa aiseee ingekuwa haki haijatendeka hahaha.... when I think that he has done too much ohhhhh Jesus did it again wachaaaaaa kabisaaa!!!
Hahaha asanteee jisong langu lingine la kujipa mahope pale ninapokuwa napitia kwenye changamoto.
Hahahaha nalo hili linanipaga minguvuuuuu!!!
Hawa nao walibambaaa umenikumbusha mbali sana enzi za utotoSitakuwa nimeitendea khaki nafsi yangu bila kuwashirikisha hii kwaya ya Mapigano Ulyankulu, ni ya muda mrefu kidogo ila you can feel the presence of God hearing them singing. Sijui wako wapi siku hizi.
Safari yao WanaIsraeli
Halafu kuna mwingine unaitwa Mwenye Mamlaka, aiseee!
Hawa nai walikuwaga habari ya mjini enzi hizo.Tumaini Kwaya, Arusha.. Daah kitambo kweli kweli [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji119]
One of my favorite too,My fav ila napenda zaid akiuimba yule dogo anaitwa Steven Dessay
Ambwene sijawahi mchoka na sitakuja kumchoka toka album yake ya kwanza mpka ya mwisho ninayo nazipenda zote,kuna kitu matata anataka kutoa kinatoka mwezi ujao aiseee ni shida!! jamaa anajua mistari,anamsifu Mungu katika maneno ambayo hayajazoeleka duniani aisee ameutunga,nausubiri kwa hamu sana.Ambwene Mwasongwe- Mzee wa siku
Naupenda sana huu wimbo!
Tubarikiwe sote mpendwaBarikiwa sana Malcom Lumumba na Wengine wote mliotupia nyimbo humu mmenibariki sana!!!!!